Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,066
- 1,194
Habari jf doctors hivi karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na kiungulia kwenye tumbo katikati ya kifua na maumivu kwa mbali sehem ya mbavu ya kulia karibu na tumbo kama dakika mbili hadi tano, pamoja na maumivu ya mbaali sana nyuma ya kiuno pamoja na mgongoni, vile vile tumbo kuunguruma pamoja na kuarisha mara mojamoja na pia kuhisi chakula kama kinarudi kooni baada ya kula kilichonitisha zaidi napata choo cheusi wakuu.