Unamaanisha ntakula dawa maisha yangu yote mkuuNenda hospitali utapimwa na kupewa dawa ila hilo sio suluhisho ,ukishaanza dawa zingatia haya kwa maisha yako yote,Kula kwa wakati,acha mawazo yanayokuumiza,usile vitu vyevye tindikali nyingi kama maharage,pombe n.k,pia epuka vitu kama malimao,machungwa n.k,pole sana...
No dawa utatumia vikishatulia unaacha,ila unatakiwa kwenye swala la ulaji na mtindo wako wa maisha ndio utakuwa kama nilivokuleza hapo juu kwa maisha yako yote,ili uwe salama...Unamaanisha ntakula dawa maisha yangu yote mkuu
Juzi nlienda hospital daktari akaniambia ni acid tumboni so akaniandikia dawa nianze kutumia je hakuna shida maana hakunifanyia vipimo vyovyote vile zaidi ya kuchukua maelezoNo dawa utatumia vikishatulia unaacha,ila unatakiwa kwenye swala la ulaji na mtindo wako wa maisha ndio utakuwa kama nilivokuleza hapo juu kwa maisha yako yote,ili uwe salama...
Endelea nazo,ila kama zisipokusaidia fanya vipimo,hiyo ndio ki uhakika zaidi...Juzi nlienda hospital daktari akaniambia ni acid tumboni so akaniandikia dawa nianze kutumia je hakuna shida maana hakunifanyia vipimo vyovyote vile zaidi ya kuchukua maelezo
Mimi juzijuzi tu nilitokewa na Hali Kama hiyoHabari jf doctors hivi karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na kiungulia kwenye tumbo katikati ya kifua na maumivu kwa mbali sehem ya mbavu ya kulia karibu na tumbo kama dakika mbili hadi tano, pamoja na maumivu ya mbaali sana nyuma ya kiuno pamoja na mgongoni, vile vile tumbo kuunguruma pamoja na kuarisha mara mojamoja na pia kuhisi chakula kama kinarudi kooni baada ya kula kilichonitisha zaidi napata choo cheusi wakuu.
Assante kaka kwan pia nasumbuliwa na msongo wa mawazo huenda ikawa tatizo hapoMimi juzijuzi tu nilitokewa na Hali Kama hiyo
Nikashauriwa nitumie maziwa
Niliambiwa TATIZO hilo humpata mtu Iwapo akiwa na msongo WA mawazo
Nilitumia Siku 2 Hali yangu ikarejea kawaida
Nb: Kumbuka kuchemsha maziwa fresh Kabla ya kuyatumia
Maumivu sehemu ya Juu ya tumbo!Habari jf doctors hivi karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na kiungulia kwenye tumbo katikati ya kifua na maumivu kwa mbali sehem ya mbavu ya kulia karibu na tumbo kama dakika mbili hadi tano, pamoja na maumivu ya mbaali sana nyuma ya kiuno pamoja na mgongoni, vile vile tumbo kuunguruma pamoja na kuarisha mara mojamoja na pia kuhisi chakula kama kinarudi kooni baada ya kula kilichonitisha zaidi napata choo cheusi wakuu.