naombeni msaada wakuu kuhusu udsm

naombeni msaada wakuu kuhusu udsm

Clemoo

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
71
Reaction score
15
wakuu nimepata udsm aquatic environmental science..na nimeomba mkopo..xaxa wakat wa kufanya registration watahitaj gharama kiasi gan mpk registration ikamilike au wale watakao lipiwa na bodi wanaruhusiwa tu..
 
subiri mkopo utoke then ukokotoe unahtajika kulipa ada kias gan then ukishalipa ada either nusu au yote+direct cost+rum ndo unapewa kitambulisho ambacho utatumia kuchukulia boom uje na pesa ya kutosha,kama wewe ni maskini,mimi nilikopaga laki 5 afu boom lilipotoka nikairudsha
NB. USISAHAU KUBEBA,KAULI MBIU YA DARUSO NI KUBEBANA INAWEZEKANA.
 
Ila we wa science boom utapata 2.bt kwa haraka haraka,njoo na kama laki mbili hvi..direct cost 84000,rum cumpus ni 96000,mabibo ni 59500.
 
yeah,mawazo ya perry nayaunga mkono sana ukipangiwa pale bibo au main campus usisahau kuwabeba wenzako ili na ww ubebwe ukiingia second year
 
direct cost is still 77,400/= or
kwa sababu
mitihani 22,000/=
daruso 5,000/=
bima 50,400/=
hostel excluded
 
msubirie george nyatega atoe hizo means testing kwanza ndio utajua usiwe na haraka kijana.
 
Ila we wa science boom utapata 2.bt kwa haraka haraka,njoo na kama laki mbili hvi..direct cost 84000,rum cumpus ni 96000,mabibo ni 59500.

Bro,kumbe room za mabibo ni cheaper kuliko za campus?Na nitafanyaje fanyaje ili nipate hostel ninayoitaka au unapangiwa moja kwa moja na uongozi?
 
Tafadhali zingatia ushauri wa perry na mchanganuo wa ejay. Ila kikawaida kunakuwa na orientation week kama nilivyokwisha weka uzi huo humu. Hivyo nitafanya liwezekanalo nikirudi dar nicheki na udsm tupate ratiba kamili kisha nitawaletea humuhumu.

Pia nashauri kuwa kabla ya kwenda chuo anza kujitayarisha kisaikolojia kuhusu matumizi ya fedha,mwanzo utaziona nyingi ila mwisho wa semester ndio utagundua si nyingi pale pass ndefu zitakapoanza au kuzimia ili upelekwe dispensary upate mto wa bure na hili si kwa udsm tu bali na kwingineko. Ukigoma utajikuta unarudi kwako mwenyewe.

Mwisho sasa umeingia chuo kikuu achana na hizo lugha za xaxa badala ya sasa. Kimsingingi achana na vifupisho vya kibishololo huko mitaani.
 
Bro,kumbe room za mabibo ni cheaper kuliko za campus?Na nitafanyaje fanyaje ili nipate hostel ninayoitaka au unapangiwa moja kwa moja na uongozi?

Hiyo unapangiwa moja kwa moja! Ila c unajua kuna milungula kijana kila kona japo si rahisi! Usifurahie ada nafuu kjana kuna cost za nauli kutoka mabbo kjana!
 
Wakuu hivi ni kiasi gani kinatakiwa ili uweze kusajiliwa chuoni!!! Udsm!
 
Back
Top Bottom