NAOMBENI MSAADA WANA JAMII FORUM WENZANGU

MZEE CHAKA

Member
Joined
May 27, 2021
Posts
87
Reaction score
141
Message…MIMI SIYO MGENI SANA HUMU JF. LAKINI SINA UTAALAMU WA KUTOSHA KATIKA MATUMIZI SAHIHI YA HUU MTANDAO. INGAWA NINAWEZA KUCHANGIA MADA KATIKA THREAD YA MTU MWENGINE. LAKINI MIMI BINAFSI NINAPATA CHANGAMOTO KATIKA KUANZISHA THREAD YANGU. NA HASWA KULE KATIKA JUKWAA LA "STORY OF CHANGE" MWENYE KUJUA NAOMBA ANIELEKEZE. AHSANTENI
 
Una hela..?
 
Nakushauri kabla hujaanzisha mada yako au hata kama umeshaiandaa kabla ya kuipost basi pitia tena huu uzi ili uweze kujua unakosea wapi.

Uzi upo wazi sana na unajieleza vyakutosha. Kutakuwa kuna mahali unakosea. Labda mada unayotaka kuanzisha haikidhi vigezo vya kuwepo humo au labda ni shida nyingine. Pitia tena.

AHSANTE. NIMESOMA VIZURI MAELEKEZO. NAHISI KUNA SEHEMU NINAKOSEA. LAKINI NINGALI NINAJIFUNZA
 
Back
Top Bottom