naombeni msaada wana jf.

Blue G

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
5,339
Reaction score
3,667
je hiki ni kiswahili sanifu??????unaenda kumuulizia fulani halafu unamkosa. unamwambia mwingine ''nimemkuta hayupo''.naendaga, namwonaga, simpendagi.sufuria au sifuria????tiyari au tayari????
 
wee unaonaGAje?

khaaaaa kweli kiswahili kigumu yaani we ndo umeniacha hoiiiiiiii kabisa!!!!!!! hebu naomba unieleweshe hicho kiswahili chako cha unaonagaje umekitolea wapi?????
 
wee unaonaGAje?
.
Kongosho AnaonaGAje? ... naniJE?!

Anyway, Blue G hicho hapo juu ni kiswahili cha mtaani kinachoitwa "kiJEjeJE"

Mfano utamsikia mtu anasema ...

NimekumisiJE?
NampendaJE?
NimenunaJE?
WatajibebaJE!
NimechokaJE!

Wajuzi wengine huenda mbali mpaka hata majina ya watu wanayaweka katika kiJejeJE

Mfano:

KongoshoJE!
NaniJE

Au

WapiJE!
HelaJE!


.....................
 

kiukwelije hicho kiswahili nimekipendaje??????ila kwa nyongeza kuhusu kisw cha Kongosho kipo sana maeneo ya usoukousss.sasa sijui kama ni sanifu au la,mengine tuwaachie bakwata watayajadili wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Vilugha vya mtaani viso usanifu wowote hivyo..almaarufu sana huku kwatu.sheng' waitavyo wenyewe.
 
nakupendapo....,sikumkutapo...naombapo.
 
je hiki ni kiswahili sanifu??????unaenda kumuulizia fulani halafu unamkosa. unamwambia mwingine ''nimemkuta hayupo''.naendaga, namwonaga, simpendagi.sufuria au sifuria????tiyari au tayari????

sijamuona+ga+je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…