Naombeni msaada wana JF

Naombeni msaada wana JF

edinajailos

Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
22
Reaction score
18
Nataka kununua gari hapa Dar(showroom) na kulipeleka Kagera,Lakini ninavyofahamu gari kama hujabadilidha umiliki,haina bima na haijalipiwa motor vehcle licence haiwezi kuingia barabaran hadi uwe umetimiza masharti hayo.Je nifanyeje ili niweze kwenda nalo Kagera ili nikafanyie process za transfer,bima na motor vehcle licence huko.Je kunautaratibu wa kupewa kibali cha muda nikalipeleka hadi Kagera?
 
kwenye jukwaa la biashara na uchumi nahisi ndo unaweza pata ufumbuz!
 
Back
Top Bottom