edinajailos
Member
- Oct 2, 2012
- 22
- 18
Nataka kununua gari hapa Dar(showroom) na kulipeleka Kagera,Lakini ninavyofahamu gari kama hujabadilidha umiliki,haina bima na haijalipiwa motor vehcle licence haiwezi kuingia barabaran hadi uwe umetimiza masharti hayo.Je nifanyeje ili niweze kwenda nalo Kagera ili nikafanyie process za transfer,bima na motor vehcle licence huko.Je kunautaratibu wa kupewa kibali cha muda nikalipeleka hadi Kagera?