Kuna taratibu zilizo wazi ambazo unatakiwa kuzifuata,ndio maana wawezakuona nchi jirani zisizo na bandari kama rwanda na burundi wanatumia sana port yetu ya dar es salaam kuingiza magari na yakifika dar wanatafuta madereva wa kuyaendesha mpaka kwao,magari hayo yanakuwa hayana namba ila sehemu ya plate number uwa wanachora namba za mda ambazo ni chasis number basi,pia wanakuwa na supporting docs kuonyesha kuwa wameyanunua...pia kwa issue yako ni hivyo tu,kuwa na docs kwamba umenunua mbele kwenye plate number weka chasis number kisha anza safari,nilishafanya hivyo...+971504374387 dubai