Naombeni msaada wanasheria tafadhali

aliweka shamba lenye nyumba ambayo haijaisha kumbe akazunguka na kuiuza na kukimbia kwahiyo alikua na hati mbili moja aliyotupa na moja aliyouzia
Dah huyo jamaa anaonekana ni tapeli mzoefu.
Hata sijui ni kitu gani kilikuaminisha kuwa huyo jamaa ni mtu safi na anafaa kudhaminika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…