hawawezi kujitahidi maana mawazoni mwao wameshajiwekea hawajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja
-Kama ilivyo kawaida mother house hana furaha na kile anachokifanya mume wake, kumletea hadi mtoto kwenye ndoa. Hana ujasiri kwa mume wake, ni mnyonge, hana maamuzi yake binafsi, hana uhuru wa kutosha. Yani ni tabu tupu. Anaishi tu kwa sababu kuna kuishi lakini hana furaha ya ndoa kabisa. Na kwa sababu ya hayo anazidi kuwa kituko kabisa, hata house girl anaweza akamfokea!!
1.Je huyu baba alikosea kumuoa mke ambaye hana kiwango cha elimu zaidi ya
elimu ya msingi??
2.Je kwa nini huyu baba asimwendeleze huyu mama/mke wake kielimu
kidogo ili aweze kuchangamsha akili kidogo?
3. Je ni vizuri mtu kuoa/kuolewa na mtu ambaye walau akili zenu zinaendena katika utendaji wa mambo hasa ukizingatia mipango na maono yako ya maisha?
4. Je huyu baba anafanya makosa kumfanya mpango wake wa kando
mshauri wa mipango yake ya maendeleo zaidi ya mke wake?
Mwisho: Unamshauri nini huyu mama mwenye nyumba, ili aweze kuishi kwa furaha na amani katika ndoa yake?
Ni kweli ila kama wamama ndani tutabweteka na kusahau wajibu wetu kama wake.............nje wataprovide vya ziada.hakuna la zaidi hapo LD zaidi ya kujiendekeza.................. mi siamini kama huko nje wanapata zaidi ya wanayopata majumbani kwao
The faithful ones are not yet born....let me wait....l.o.l.....inauma sana,vishawishi vyote tunavyokutana navyo tunakataa halafu wenzetu hata effort hakuna......:rain:
Ni kweli ila kama wamama ndani tutabweteka na kusahau wajibu wetu kama wake.............nje wataprovide vya ziada.
kuna wababa wengine kila mwanamke wanasema alimuanza............... yaani yeye kila siku anafwatwa tuuuuuuuuuuuuuuuuu, sijui ana MATATIZO gani?
sipingani na hilo MJ1, lakini si umesikia habari za utakulaje mboga moja siku 7? kwa hiyo hata ukijitahidi vipi wanafwata kubadilisha mboga. kwa mtazamo wangu mimi naona wanafwata kubadilisha sahani za kupakulia hizo mboga, maana kama ni kubadilisha mboga hata nyumbani inawezekana
Kweli FP,manake wanajisahau sana....hakuna sehemu imeandikwa wanawake ni wa mwanaume mmoja,yatupasa wote kuheshimu commitment na viapo vyetu mbele za Mungu...kinachouma ni kuwa hata kujitahidi wanaume wengi hawajitahidi...ni kitu kimekubalika ndani ya nafsi yao....hii inakatisha tamaa.....na ndo maana kuna wanawake wakichoka nao wanakwenda nje....kwa kuwa wanaume wao hawawaridhishi....ashatoka zake nje huko anarudi home hata nguvu hana......
Fixed point hapo kwenye RED naona unalazimisha tu ila ukweli unabaki pale pale..!! Ivi ulishawai kuona mtetea (kuku) yupo katikati ya majogoo na hakuna ngumi hapo?
Sawa Kabisa FP na ndicho nilichokimaanisha na inapotokea mama kabweteka to the extent hata haki ya mumewe hampi kila kukicha amechoka .......akienda nje atapewa kwa dozi ya panadol kutwa mara tatu na nyingine apelekewe ofcn lunch hour---- si ndo vya ziada hivyo mamii??sipingani na hilo MJ1, lakini si umesikia habari za utakulaje mboga moja siku 7? kwa hiyo hata ukijitahidi vipi wanafwata kubadilisha mboga. kwa mtazamo wangu mimi naona wanafwata kubadilisha sahani za kupakulia hizo mboga, maana kama ni kubadilisha mboga hata nyumbani inawezekana
Nakubaliana na wewe wanabadilisha hizo mboga/sahani yakiwafika wanarudi kwa mkewe kimyaaa
Kwa hiyo nyie wanaume ni sawasawa na Majogoo, na mabeberu??
Nyie si mmeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu?
Na utashi wa kuchagua mema na mabaya??
wanafuatwa wao wa nini special.....kujidai tu na wewe umuone wenzio wanamgombania.....hakuna lolote,today's men are cheap kama peremende..........
si unaelewa tena dena sisi ndio wa kuuguza wao wale raha wakiona viboko wanajua kuna mahali watapokolewa na kujibanza kimya sijui hawa vviumbe kama watakaa wajifunze.
Nitake radhi rafiki..........................
kuna wababa wengine kila mwanamke wanasema alimuanza............... yaani yeye kila siku anafwatwa tuuuuuuuuuuuuuuuuu, sijui ana MATATIZO gani?
Kaka leo umeamua!!Things are gettin' better....It's people that are gettin' worse
Sawa Kabisa FP na ndicho nilichokimaanisha na inapotokea mama kabweteka to the extent hata haki ya mumewe hampi kila kukicha amechoka .......akienda nje atapewa kwa dozi ya panadol kutwa mara tatu na nyingine apelekewe ofcn lunch hour---- si ndo vya ziada hivyo mamii??
Let him who gp out of his marriage aende kwa kuexplore (i.e. tamaa za mwili ambayo ni dhambi) and not out of kupungukiwa au kukosa.