Naombeni msaada wapendwa!!!!!

kwenye hizo bolded parts hizo NAPINGANA NA WEWE MOJA KWA MOJA......na pingana na wanaokusupport pia...!
SIO KWELI
HUO NI UPOTOSHAJI

Mkuu kule kwingine nimekuuliza kitu....messenger!
 
kwenye hizo bolded parts hizo NAPINGANA NA WEWE MOJA KWA MOJA......na pingana na wanaokusupport pia...!
SIO KWELI
HUO NI UPOTOSHAJI
hehehe an "Angel" Mfalme wa Amani
Here he comes.........!!
 
kwenye hizo bolded parts hizo NAPINGANA NA WEWE MOJA KWA MOJA......na pingana na wanaokusupport pia...!
SIO KWELI
HUO NI UPOTOSHAJI

haya mfalme wa amani,tuambie zaidi!!!:A S 13:
 
Wakuu hii mada ni ya msingi sana wenye uzoefu watupe mawazo mana hii education difference inaweza ikaleta sononeko kwa mwenzi wako baadae kama mwanaume hakutafakuri vizuri.
 
kwenye hizo bolded parts hizo NAPINGANA NA WEWE MOJA KWA MOJA......na pingana na wanaokusupport pia...!
SIO KWELI
HUO NI UPOTOSHAJI

Bora Teamo nisaidie, manake mpaka sasa hivi bado sijaimeza hiyo kabisa.
 
kwenye hizo bolded parts hizo NAPINGANA NA WEWE MOJA KWA MOJA......na pingana na wanaokusupport pia...!
SIO KWELI
HUO NI UPOTOSHAJI

Niliogopa kumpinga Babu afadhali umesema wewe
 
Yaani ni ajabu kwa kweli...kuna mdada mmoja ambaye alikuwa kama huyo wa Mpango wa kando yaani yeye si kuwa alimsaidia tu Mama mwenye nyumba bali ndie aliyemwamsha MZEE kwenye ulimwengu wa Biashara..alimsaidia kufungua stationary kubw atu maeneo ya chuo flani pale Iringa, akamshauri kwa pesa aipatayo ajenge vitega uchumi kibao ikiwemo hostels e.t.c. Na mama mwenye nyumba alipokuja kugundua mwanzoni akawa anamharasi sana yule mpango wakando (Yeye hakuwa mkimya na mpole kama wa huyu baba) alicharuka. But after a while akawa mwenyewe anaaapreciate efforts za mpango wa kando though hakuwa anatoa go ahead kwa mumewe aoe kabisa (But alikuwa anamsihi asitafute mwingine wawe wao tu -yaani wanawake wawili maishani mwake)

Cha ajabu after a while mume akamwacha mkewe na MPANGO WA KANDO nao ukaachwa solemba - akaolewa mwingineeeeee!!
 
Bora Teamo nisaidie, manake mpaka sasa hivi bado sijaimeza hiyo kabisa.
Teamo Mfalme wa Amani njoo basi utauambie kwa nini unapingana na Babu...
Hapa tunahitaji hoja zaidi..!! Can we go against nature?
 
Teamo Mfalme wa Amani njoo basi utauambie kwa nini unapingana na Babu...
Hapa tunahitaji hoja zaidi..!! Can we go against nature?
Mmmmmmh nature????:rain::rain::rain::rain::rain:
 
Hiyo red ngumu sana aisee
 
Maisha ndivyo yalivyo. Maisha yanasonga mbele!

Tusidanganyane bana, haya mambo kukwepeka ni ngumu mno!
 
Teamo Mfalme wa Amani njoo basi utauambie kwa nini unapingana na Babu...
Hapa tunahitaji hoja zaidi..!! Can we go against nature?

Ewaaaaaa! Swali muhimu sana hilo hommie!
 
Ole wennu wajukuu mnaomsapoti babu ''kwa woga....''....
 
enyi kizazi cha nyoka......!

angalieni na kuweni makini sana na aina ya Dunia ambayo mnajitengenezea na kuihalalisha.........!

msiwe na mioyo migumu kama wazee wenu kule MERIBA.......!

tafadhalini sana wandugu.

sio mpango wa mungu kuihalalisha ZINAA chini ya jua

haya mambo yafanywe lakini ikumbukwe kuwa ni dhambi kubwa
 
Hiyo red ngumu sana aisee
Mamito yaani mmama mwisho alitoa blue light------ yes you can have this one and no you cant have another -- so maisha yakaendelea sometimes mmama akawa anamtuma mzee amwagize mpango wa kando uexplore zaidi opportunities za investments......... we bwana we afu si kwamba huyo mmama alikuwa hajasoma, hana kazi nzuri
 
Mmmmmmh nature????:rain::rain::rain::rain::rain:

Kimey nini hicho???
Ngoja tu nikae kimya maana MJ1 keshasema tunapoteza muelekea wa Thread hii!!
Jambo la muhimu hapa ni kumpa ushauri huyu mama ile awe na maisha ya amani na upendo kwenye hizo siku zake zilizobaki...
Hayo ya nature tutayazungumzia kwenye thread nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…