kuna ndugu yangu anasumbuliwa na vipele ambavyo vinajitokeza mikononi,na mgongoni,alipima vdrl ikawa non-reactive.wakasema itakuwa ni aleji! Wakamwandikia vidonge viitwavyo Pledinsolone,kweli ametumia dose,tatizo likaisha kabisa,cha ajabu vimeanza tena,ila inapotumia vinaacha!tatizo litakuwa nini?