Naombeni msaada wenu jamani kabla hali haijawa mbaya

akiba

Senior Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
145
Reaction score
24
Nilianza kuona dalili za maralia tar31,kutokana na mazingira niliokuepo hakuna hospitali kesho yake nikanywa marafin lakini hali ikazidi kuwa mbaya,kichwa kinauma sana maeneo ya utosini na kisogni na homa inapanda kwa kasi,jana nimerudi mjini nikaenda hospitali wakanipa sindano3 za qunin na vidonge vyake sasa naogopa kutumi maana sio siku nyingi nimetumia dozi nyingine,madocter naombeni ushauri wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…