Nina tatizo la maziwa kuwaka moto,nimehangaika hospital lakini sijapata nafuu
Pole yatakwisha
Pole sana. Mimi siyo mtaalam ila hebu pia ingia google search tatizo lako kwa kutumia key words tifautitofauti
Nina tatizo la maziwa kuwaka moto,nimehangaika hospital lakini sijapata nafuu
tatizo la kutokewa na v uvimbe kwenye jicho kope kama vijipu msaada pia jamani
Nina tatizo la maziwa kuwaka moto,nimehangaika hospital lakini sijapata nafuu
Kanunue ethromisine za syprus umeze.