1. Kuhusu Makampuni, Kwa huku Bomgo ninavyo juaykuna registration zaidi ya nne za makampuni
- PRIVATE COMPANY- Haya ni makampuni ya kawaida
- PUBLIC COMPANY- Hizi ni private company zinakuwakubwa na kuingia katika public compaby mfano TBL, CRDB, NMB na kazalika
- NGOs Kuna NGOs zinazo sajiriwa kama kampuninon profit company au campuni zisizo kuwa na SHARE
- FOREIGN COMPANY- Hizi ni kampuni za nje ya nchiambazo zinakuja kuwekeza Tanzania so ni lazima zisajiliwe ili zi operate Tanzania,
MFANO
A. VODACOM TANZANIA- Hii si kampuni ya Tanzania naiko nchi nyingi sana so ili I operate Tanzania ni lazima isajiliwe tena Bongoili iendane na sheria za Makampuni za Tanzania hii ni kwa sababu kila nchi inasheria zake kuhusu makampuni na hazifanani hata kidogo
2. KUHUSU INC NA MICOSOFT hapa ni kwamba shariaza kusajili makampuni zinadifer kati ya Nchi na Nchi Mfano huko majuu hakunanchi hawana neno LTD katika kampuni zao na Kuna badhi ya Nchi wao hawana nenoDIRECTOR OF COMPANY BALI WANA PRESIDENT WA KAMPUNI NA CEO, na kazalika
Kwa sheria za Tanzania si dhani kama kunaPRESIDENT OF COMPANY ila nchi zingine wapo Maraisi wa kampuni ambao ndowamiliki wa KAMPUNI HUSIKA
So hapo ni utofauti kati ya Nchi na Nchi
3. KUHUSU ,individual, partnership, sole proprietor INDIVIDULA NA SOLE PROPRIETOR NIKITU KIMOJA
- SOLE PROPRIETORSHIP Hapa unakuwa wewe kamawewe na RISK ZOTE UNABEBA WEWE KAMA WEWE, nah ii mara nyingi huwa haishauriwikutumiwa kwa sababu unabeba risk zote peke yako, hakuna wa kukusaidia
- PARTNERSHIP- Hapa ni pale mnapo kuwa wawili nakumua kuendesha as a partners
- COPERATION- Hapa ndo maswala ya LTD
4. KUHUSU KUTAFUTA PARTNERS
- Ishu ya kutafuta patiners ni ngumu sana ni zaidiya kutafuta Mme/mke, na hapa kwenye kutafuta mtu wa kufanya nae biasharaukifanya mistake utajuta maisha yako yote,
- SO INASHAURIWA KWAMBA MNAPO ANZISHA KAMPUNIUKIWA NA WENZAKO HAKIKISHA YAFUTAYO
1. Wewe unakuwa na share nyingi kuliko wenzako
2. Usi kubali mkagawana pasu kwa pasu, hii ni kamawewe ndo mtoa wazo/ AIDEA
3. Kama kampuni ina share 1000 wewe chukua share501 AU KATIKA SHARE WEE MILIKI 50.1%
WEWE- 50.1
MWENZAKO- 20%
MWENZAKO 5%
MWENZAKO 10%
MWENZAKO 10%
MWENZAKO- 5.9%
Hapa ni kwamba kama wewe ndo mtoa wazo la Biashara ili kuendelea kulindawazo lako unatakiwa uwe na share nyingi ambazo zitakufanya uwe na sauti, meanshawa wengine wakiunganisha za kwao zote bado hazitafikia zao
Wao wanaweza kuunganisha za kwao na kumwachia mtu mmoja atakaye kuwa na49.6% atakuwa hajakufikia wewe ukiwa na 50.1%
ILA SASA IKIWA HIVI
WEWE- 40%
MWENZAKO- 10%
MWENZAKO- 10%
MWENZAKO- 20%
MWENZAKO- 20%
Hapaunaweza fikilia umewaweza kwa wewe kuwa na hisa nyingi sana na utakuwa na sautikatika kampuni, ILA HAWA WENGINE WAKIAMUA KUKUPINDUA NI DAKIKA TU,WAKIUNGANISHA SHARE ZAO WATAKUWA NA 60% HIVYO UNAKUWA HUNA SAY TENA KATIKAKMAPUNI