Godfrey GODI Js
Member
- May 27, 2011
- 6
- 0
Mzee Mwanakijiji yuko Detroit suburbs, Marekani, hajawahi kununua maji Tanzania karne hii, ni rahisi zaidi kwako kupata data hizo. Na kama huwezi basi hata ingekupiga kichwani usingeitambua data hiyo wala usingeweza kuitumia, unapoteza muda na kujaza bandwidth.Kaka yangu mwanakijiji ...
Mzee Mwanakijiji yuko Detroit suburbs, Marekani, hajawahi kununua maji Tanzania karne hii, ni rahisi zaidi kwako kupata data hizo. Na kama huwezi basi hata ingekupiga kichwani usingeitambua data hiyo wala usingeweza kuitumia, unapoteza muda na kujaza bandwidth.
bora mpuuzi mwenye effort ya ku research data za nchi yake ndani ya nchi yake kuliko laggard anaetaka kutafuniwa na kutafutiwa data za Tanzania na mtu wa Marekani. Mtu yuko Detroit suburbs atajuaje bei ya maji Shinyanga wakati hajawahi kununua maji Tanzania karne hii. Anakoishi kuna mito ya maziwa na mabomba ya asali, hawezi kukutatulia adha za maji Tanzania kutokea Marekani. Jenga nchi yako.uko humu jf kimakosa. ... Acha upuuz bwana.
Re: Agent: Mzee Mwanakijiji na wengine naombeni msaada wenu.
Hii thread imenichekesha sana, hasa hiyo AGENT ilivyotumika hapo!Kaka yangu mwanakijiji ...
Kaka yangu mwanakijiji na wanajf wengine, naombeni mnisaidie kupata bei ya maji safi kwa unit moja zinazotozwa na mamlaka za maji za mikoa yote ya tz. Najua ni kazi ngumu kaka lakn nisaidie. Nazihitaji data hizo ili niweze kulinganisha na mkoa wetu wa shy. SHUWASA wamepandisha bei kwa takrban 90%, wananchi tunapinga. Data hizo zitasaidia ktk kuwasilisha malalamiko yetu kwa ngazi zinazohusika kabla ya kuwahamasisha watu wachukue hatua ya kupinga unyonyaji huu. Mods naomba msiitoe thread yangu hadi ntakapopata majibu. Nisaidie.[/QUOTE
Kawaida kabla ya kupandisha bei ya maji mamlaka husika hupeleka maombi ewura kibali cha kuongeza gharama za maji.
Baada ya maombi kupokelewa normally kunatolewa, ni lazima, matangazo magazetini kuwa kutakuwa na public hearing na wadau wote, pamoja wa wananchi, wanatakiwa kufika na kutoa maoni.
Kwenye hiyo hearing mamlaka husika hutoa maombi yake na wadau hutoa maoni kwa nini wanaona si sahihi bei kupanda. Mamlaka ewura baada ya hapo hutoa approval ya kupandisha bei ya huduma, na hiyo ndio huwa bei halali tokea hapo.
Sasa godfrey swali la msingi ni ulihudhuria kwenye hio hearing? Au ni mmoja wa watanzania mamilioni tunaoanza kusoma gazeti kuanzia ukurasa wa michezo na kusema nimesoma gazeti la leo?
Kama hukufanya ni dhahiri kuwa ulipoteza haki yako muhimu sana ya kusikilizwa.
Anyway kama bado unakerwa na kukwazika na uamuzi huo muone wakili wako ambaye atakuelewesha taratibu za kufuata kuzuia kutumika hizo rates mpya za huduma.
bora mpuuzi mwenye effort ya ku research data za nchi yake ndani ya nchi yake kuliko laggard anaetaka kutafuniwa na kutafutiwa data za Tanzania na mtu wa Marekani. Mtu yuko Detroit suburbs atajuaje bei ya maji Shinyanga wakati hajawahi kununua maji Tanzania karne hii. Anakoishi kuna mito ya maziwa na mabomba ya asali, hawezi kukutatulia adha za maji Tanzania kutokea Marekani. Jenga nchi yako.