B British SAS Member Joined Oct 19, 2017 Posts 60 Reaction score 146 Jan 11, 2018 #21 Random said: Bas amuone gynalogst wa wanawake Click to expand... Hakuna gynaecologist wa wanaume Dada!
Random said: Bas amuone gynalogst wa wanawake Click to expand... Hakuna gynaecologist wa wanaume Dada!
Random JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 791 Reaction score 742 Jan 11, 2018 #22 British SAS said: Hakuna gynaecologist wa wanaume Dada! Click to expand... Mim cio cio dada
B British SAS Member Joined Oct 19, 2017 Posts 60 Reaction score 146 Jan 11, 2018 #23 Random said: Mim cio cio dada Click to expand... Nitaamije na unatumia ID Fake? Gynaecology ni elimu inayohusu uzazi wa mwanamke.
Random said: Mim cio cio dada Click to expand... Nitaamije na unatumia ID Fake? Gynaecology ni elimu inayohusu uzazi wa mwanamke.
Random JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 791 Reaction score 742 Jan 11, 2018 #24 Gynacologist ni specialist wakike kwa hiyo suala la rangi ya maziwa na mengine ya uzazi wa kike yanamuhusu, nenda hospital mumuone atawasaidia, random ni jina la kiume c lakike na wala c fake, kama ujampa mwanao jina na ni wakiume basi mpe hili
Gynacologist ni specialist wakike kwa hiyo suala la rangi ya maziwa na mengine ya uzazi wa kike yanamuhusu, nenda hospital mumuone atawasaidia, random ni jina la kiume c lakike na wala c fake, kama ujampa mwanao jina na ni wakiume basi mpe hili