Edmund Mpandaloni
Member
- Jul 16, 2014
- 9
- 1
naitwa EDMUND JOSEPH MPANDALONI
miliomba nafasi ya kusomra mafumzo ya ualimu ngazi ya chrti naomba kwa mwenye majina aniangalizie jina langu
kwan washatoa?
naitwa EDMUND JOSEPH MPANDALONI
miliomba nafasi ya kusomra mafumzo ya ualimu ngazi ya chrti naomba kwa mwenye majina aniangalizie jina langu
Majibu hayajatoka umengangania wapi???? Wacha kumzingua mwenzako
Mkuu nimekuangalia haupo halafu kwa sasa hakuna mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti isipokuwa imekua diploma ya elimu ya msingi.
Pili kama ulipata ufaulu chini ya div one mpaka three jua umekosa mwaka huu uchaguzi haujagusa kabisa div four.
matokeo ya uchaguzi unaweza yapata hapa http://www.nacte.go.tz/pdfs/Stashahada_ya_kawaida_elimu_ya_awali.pdf
http://www.nacte.go.tz/pdfs/stashahada_ya_kawaida_elimu_ya_michezo.pdf
http://www.nacte.go.tz/pdfs/stashahada_ya_kawaida_elimu_ya_msingi.pdf
:cool2: Hapa JF tunahitaji watu jamii ya LUSUNGO ambao hutoa msaada sahihi kwa wakati muafaka kwa wanaouhitaji. Ni kweli selection ilishafanyika na waliochaguliwa kuingia vyuo vya serikali wanakwenda kuchukua Diploma na sio Ualimu ngazi ya cheti. Hata hivyo vyuo vya visivyo vya serikali vitaendelea kutoa mafunzo ngazi ya cheti (IIIA) kwa mwaka huu 2014/15. Hivyo unashauriwa kuomba mafunzo hayo katika vyuo hivyo.