Nina mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha sita na kwa sasa anafanya application kwa ajili ya masomo ya chuo kikuu. sasa kuna hizi course mbili zinazotolewa na chuo cha Mzumbe ambazo ni BAF in public sector na BAF in business sector, je kuna tofauti gani kati ya hizo course mbili?? na ipi kati ya hizo ambayo iko so wide na pia ina fursa nyingi za ajira hapo baadae?? naombeni msaada please kwa mwenye kuzielewa kwa undani