Naombeni msaada wenu tafadhali sijui ni kitu gani hiki.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Habar wana bodi naombeoni kujuzwa ni nini hiki kinachojitokeza kwenye ulimi wangu kipindi ambacho nimekula chungwa au kitu kichungu chenye ladha ya limao kipele au kidonda humea katika ulimi kwa kasi ya ajabu na baada ya dakika 5 hupasuka damu nashindwa kuelewa ni nini hiki?
 
mh pole lakini we mzembe me ningekimbia hospital saa hiyo hiyo yaani na hali hiyo halafu unahuluza jf wakati unajua madokta wapo kwa ulimboka wakija kurudi sio leo..nakushauri uende kwa dokta na chungwa lako ukufikia ulile ili nae ashuhudie vizuri..ila nadhani tatizo litakuwa ni ukosefu wa kinga mwilini yaani vitamins....
 
 

Ukila vitu vyenye uchachu huwa kinavimba na kupasuka, hii ni bitter secretive duct obstruction on anterior side, ndio maana inaweza kupasuka yenyewe, ingekuwa ni middle au posterior part, ingebakia tu uvimbe na maumivu makali unapokula vitu vya uchachu.

Nenda kwa daktari wa meno, mwenye specialization ya Oral and maxillofacial surgery atakusaidia sana.

Pole kwa kuumwa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…