T tumain ernest Member Joined Feb 24, 2011 Posts 26 Reaction score 8 Nov 7, 2011 #1 napenda kujua hivi ukimlamba mwamke mwenye ukimwi ukeni kama hajachubuka unaweza kupata maambukizo?
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,619 Nov 7, 2011 #2 ishakula kwako mkuu anza tu kutumia dozi
M mdati Member Joined Nov 7, 2011 Posts 8 Reaction score 1 Nov 8, 2011 #3 kuwa mwangalifu sana mapenzi ya aina hiyo yafanye kwa mtu ambaye mnaaminiana kwa maana ya kupimwa na kujua afya zenu kwanza we,unalambalamba tu.
kuwa mwangalifu sana mapenzi ya aina hiyo yafanye kwa mtu ambaye mnaaminiana kwa maana ya kupimwa na kujua afya zenu kwanza we,unalambalamba tu.
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 1,994 Reaction score 1,540 Nov 8, 2011 #5 Tamu? Ngoja wataalamu waje wakujuze?