Naombeni msaada wenu wajuzi

Hivi ni kwa Nini huwazi kwenda hospitali? Utatibiwa na madaktari wangapi hapa?
Ninachokiwaza kuhusu hospitali;-
1. Huku kwetu ni kijijini hakuna hospitali
2. Na ukienda zahanati kwanza unaombwa bima na kama hauna ina bidi utoe tsh.5,000. Hapo hapo unaambiwa ukanunue dawa duka la dawa.
3. Na hata manesi wa pale zahati hawatofautiani na manesi wa duka la dawa.
Kwa mfano nakwenda zahati natoa 5,000 alafu nanunua dawa 8,000 si nibora nikanunue tu dawa ya sh.8000 yaishe
 
Okay. Pole kwa changamoto
 
Mulioandika huhusu AZUMA shukrani imenisaidia ila pesa niliyoinunua si ya kitoto
 
Kutoka ulipo hadi wilayani pana umbali gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…