Naombeni msaada wenu wakuu

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622
Nina shida na construction plan kwa ajili ya commercial building ambayo itatumika kwa ajili ya matumizi ya kiofisi tu. Nahitaji construction plan ya kisasa na ya kuvutia yenye jengo lenye gorofa 7. Nimejaribu kusearch google kama naweza kupata construction plan ya aina hiyo for free bila mafanikio. Tafadhali kwa yeyote mwenye uwezo wa kutatua tatizo langu naomba anisaidie kwani nina shida nayo sana.
 
Ni PM nikupe namba ya Jamaa anachora ramani kwa bei rahisi kila kitu kuanzia archtecture design + structure design na anakuplintia kila kitu kwa bei rahisi sana ambayo hauwezi amini
 
Ni PM nikupe namba ya Jamaa anachora ramani kwa bei rahisi kila kitu kuanzia archtecture design + structure design na anakuplintia kila kitu kwa bei rahisi sana ambayo hauwezi amini

pouwa. Ntakucheki mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…