Kwa heshima naomba msaada wa kunijulisha haya yafuatayo:-
Nimepata mfadhili kanambia nichague kozi ninayotaka atanisomesha ndani ya Tanzania mimi elimu yangu ni O level nina C 2
Suali langu jee nisomee kozi gani iliokua soko lake la ajira halisumbui?
Jee kama nitachukua diploma ya IT nitaruhusika kwa huko mbeleni kuchukua degeree ya chocuote au lazima niendelee na hio hio IT?
Jee soko km Nisisome IT couse gani unahisi inalipa? Na naweza kuchukua degeree japo sijafika form six?
Nawaombeni mujua munisaidie mawazo