witness aminie
Member
- Oct 25, 2011
- 7
- 0
kama hawajatenganishwa ma mahakama basi anatakiwa aende kwenye reconciliation board kama sheria ya ndoa inavyotaka na ikitokea hiyo board imeshindwa kuwapatanishwa watampa certificate na anatakiwa aende mahakamani ili aombe divorce na hii kama akishinda mahakama itaamuru mgawanyo wa mali kwa uwiano. lakini haya yote anaweza kuyafanya kama tu wote wawili au yy hataki tene kuendelea na ndoa hiyo.
Ndoa yao ilikuwa ya aina gani?kiislamu,kikistro au kiserikal?