Naombeni msaada wenu

Naombeni msaada wenu

Olaph.uk

Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
51
Reaction score
5
Wana JF, Nimesikia kuwa waliomaliza kidato cha nne kuanzia 2008 na kushuka hawapati mkopo na je ukifanya mtihani wa kidato cha sita kama PRIVATE CANDIDATES, mkopo unapata?
 
Mkopo wanapata wote wenye kutimiza vigezo bila kujali km ulifanya fom6 km private candidate au school candidate!
 
Mshirazy, kama ulimaliza kidato cha nne kwa kwa niliotaja huu inakuwaje?
 
Back
Top Bottom