Naombeni msaada wenu.

Naombeni msaada wenu.

Benson Minja

Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Eti kwa mtu anayrmepaswa ku supplment somo moja mfano surgery angali ana GPA ya 3.28/4.0.
Je, ataweza kupewa cheti bila ku suppliments!!
Naomben msaada kwa hilo
 
Prospectus inasemaje ndugu?
Kama vp mtafute accademic advisor wako, atakueleza uyapasayo kuyafanya.
 
Hawajaeleza chochote kuhusu hilo.
Wanapiga chenga!
Kama kuna anaefaham utaratibu ajulishe jmn
 
Back
Top Bottom