Viwanja vilivyopimwa viko vingi,tatizo vilinunuliwa na wajanja ili waje wauze kwa bei ya juu kwa wengine kama wewe, maeneo yaliyopimwa na viwanja viko ni kama haya, Buyuni njia ya kisarawe, Tuangoma Kigamboni na Mwanagati. Kuvipata ni lazima ulambwe cha juu na wajanja. Na kama una ujanja wa kufika ardhi pale na ukawa na bahati unaweza pata ambavyo havijauzwa.