Naombeni msaada

Naombeni msaada

Jonas justin

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
90
Reaction score
3
naombeni msaada mwili wangu unaniwasha sana pale ninapopita kwenye jua kali na nikipata joto na pia wakati na fanya mazoezi mwili unakua unaniwasha.Nikiazwa kuwashwa nakua najisikiakama vitu vina nichoma kama sindano au miba ila vinakua mwili mzima nishaendaga hospitalini wakaniambia niache kula maharage lakini bado tatizo linaendelea naombeni msaada na ushauri nifanye nini.
 
The best way nenda hospitali, utapata maelezo ya kitabibu pamoja na tiba ikiwezekana.
 
Back
Top Bottom