R Rhinocerus Member Joined May 4, 2013 Posts 8 Reaction score 0 Oct 10, 2014 #1 Napata shida kutofautisha maneno yafuatayo japo yamezoeleka kwa kila mtu yaani HESABU NA HISABATI
Shy land JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 6,208 Reaction score 2,767 Oct 10, 2014 #2 Hesabu=kuhesabu,, ni utalatimu wa kupangilia vitu katika idadi yake, maana yake ni somo la kuhesabu tu, mara nyingi hutumika darasa la kwanza hadi la tatu, ikivuka hapo inakuwa hisabati hisabati ni muonganiko wa meneno haya HISA+BATI,
Hesabu=kuhesabu,, ni utalatimu wa kupangilia vitu katika idadi yake, maana yake ni somo la kuhesabu tu, mara nyingi hutumika darasa la kwanza hadi la tatu, ikivuka hapo inakuwa hisabati hisabati ni muonganiko wa meneno haya HISA+BATI,