Cear Member Joined Oct 8, 2012 Posts 13 Reaction score 3 Jun 8, 2013 #1 Nimejirejsta TCU kwa namba ya mtihani wa pili yani namba ya kurisiti bada ya hapo sistim ilinikatalia nakujiunga na TCU na kuniambia kwamba sina credit na sijakwalifai hata baada ya kuad namba ya zaman.Masaada jamani?
Nimejirejsta TCU kwa namba ya mtihani wa pili yani namba ya kurisiti bada ya hapo sistim ilinikatalia nakujiunga na TCU na kuniambia kwamba sina credit na sijakwalifai hata baada ya kuad namba ya zaman.Masaada jamani?