Naombeni msada mliowahi kuagiza hii gari

Naombeni msada mliowahi kuagiza hii gari

benjamathayo

Member
Joined
May 22, 2018
Posts
76
Reaction score
80
Wana jamii fr mlio nauzoefu ktk hii naomba msada nahitaji kuagiza hili gari kutoka injee kama unavyoona ktk picha bei hadi kufika hapa tanzania imeandikwa hapo sasa naomba kujua itatumika gharama gani kulipa kodi pale bandalini ni gharama gani kiasi gani tena baada yapo nitatumia hadi gari iwe mkonon mwangu ikiwa navibali vyote .natanguliza shukulan
Screenshot_20190608-160713.jpeg
Screenshot_20190608-160556.jpeg
 
Nenda kwenye ofisi za befoward
Subaru wamepoteza muonekao wa gari,Forester ina kuonekano mzuri sana
 
Habari
Mimi Nipo kwenye Industry ya Magari na Ni agent wa Kuagiza magari kutoka japan, Kulingana na Sifa ya gari Itahitaji kujua Ushuru wa gari kwanza ambao unaupata kwa TRA calculator pia na gharama za clearing TPA Hivyo ni vyema
ukawasiiana nami: 0742085793
pia WhatsApp: 0742085793
ntakusaidia Vyema.
Shukrani
 
Kama una nia ya kumsaidia fanya calculation hapahapa kwenye uzi wake,
Akiridhika atakutafuta kwa maelezo zaidi..

Mto mada kuwa makini na matapeli kwa huo uandisha wako inaonekana mtupu sana pa kichwa wajanja watakuingiza mkenge..
Bora uende ofisi ya kampuni mkalipane na kuagiza huko usifanye transaction kwa mtu binafsi usiyemfahamu
 
Ukitaka kujua kodi ya gari yoyote mtandao wa TRA http://gateway.tra.go.tz/umvvs/ angalia sasa total kodi ya hiyo gari Tshs 9,061,844.95 kwa leo hapa ndipo moja ya maeneo ambayo nayo watoza kodi wetu wangetakiwa kuishauri serikali gari unatoa Japan mpaka hapa 7m lakini kodi yake 9m.
table kwa undani
Reference Number:18194077765
Make:SUBARU
Model:FORESTER - SH
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2010
Country:JAPAN
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1501 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):4,634.00
Import Duty (USD):1,158.50
Excise Duty (USD):289.63
Excise Duty due to Age (USD):868.88
VAT (USD):1,307.82
Custom Processing Fee (USD):27.80
Railway Dev Levy (USD):69.51
Total Import Taxes (USD):3,722.14
Total Import Taxes (TSHS):8,561,844.95
Vehicle Registration Fee (TSHS):500,000.00
TOTAL TAXES (TSHS):9,061,844.95
 
Nikweli ndugu kiukweli mm nimtupu sielewi chochote zaidi ndio itakuwa mara yakwanza ushauri wako niwamhimu sana kwang asante sana
 
Ukitaka kujua kodi ya gari yoyote mtandao wa TRA http://gateway.tra.go.tz/umvvs/ angalia sasa total kodi ya hiyo gari Tshs 9,061,844.95 kwa leo hapa ndipo moja ya maeneo ambayo nayo watoza kodi wetu wangetakiwa kuishauri serikali gari unatoa Japan mpaka hapa 7m lakini kodi yake 9m.
table kwa undani
Reference Number:18194077765
Make:SUBARU
Model:FORESTER - SH
Body Type:SUV
Year of Manufacture:2010
Country:JAPAN
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1501 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):4,634.00
Import Duty (USD):1,158.50
Excise Duty (USD):289.63
Excise Duty due to Age (USD):868.88
VAT (USD):1,307.82
Custom Processing Fee (USD):27.80
Railway Dev Levy (USD):69.51
Total Import Taxes (USD):3,722.14
Total Import Taxes (TSHS):8,561,844.95
Vehicle Registration Fee (TSHS):500,000.00
TOTAL TAXES (TSHS):9,061,844.95
Kwa hyo mkuu kwa maelezo yako hapo akinunua hyo gari kwa 7m na kulipia kodi ya 9m tra itakuwa jumla ya 15m.
Kwa hyo akiwa na 15m itamfikia hadi nyumbani kwake na kuanza kutumia?au Kuna gharama zingine Tena zitaongezeka?
 
Habari
Mimi Nipo kwenye Industry ya Magari na Ni agent wa Kuagiza magari kutoka japan, Kulingana na Sifa ya gari Itahitaji kujua Ushuru wa gari kwanza ambao unaupata kwa TRA calculator pia na gharama za clearing TPA Hivyo ni vyema
ukawasiiana nami: 0742085793
pia WhatsApp: 0742085793
ntakusaidia Vyema.
Shukrani
Oky sawa ndugu
 
Back
Top Bottom