benjamathayo
Member
- May 22, 2018
- 76
- 80
Habari
Mimi Nipo kwenye Industry ya Magari na Ni agent wa Kuagiza magari kutoka japan, Kulingana na Sifa ya gari Itahitaji kujua Ushuru wa gari kwanza ambao unaupata kwa TRA calculator pia na gharama za clearing TPA Hivyo ni vyema
ukawasiiana nami: 0742085793
pia WhatsApp: 0742085793
ntakusaidia Vyema.
Shukrani
| Reference Number: | 18194077765 |
| Make: | SUBARU |
| Model: | FORESTER - SH |
| Body Type: | SUV |
| Year of Manufacture: | 2010 |
| Country: | JAPAN |
| Fuel Type: | PETROL |
| Engine Capacity: | 1501 - 2000 CC |
| Customs Value CIF (USD): | 4,634.00 |
| Import Duty (USD): | 1,158.50 |
| Excise Duty (USD): | 289.63 |
| Excise Duty due to Age (USD): | 868.88 |
| VAT (USD): | 1,307.82 |
| Custom Processing Fee (USD): | 27.80 |
| Railway Dev Levy (USD): | 69.51 |
| Total Import Taxes (USD): | 3,722.14 |
| Total Import Taxes (TSHS): | 8,561,844.95 |
| Vehicle Registration Fee (TSHS): | 500,000.00 |
| TOTAL TAXES (TSHS): | 9,061,844.95 |
Nikweli ndugu kiukweli mm nimtupu sielewi chochote zaidi ndio itakuwa mara yakwanza ushauri wako niwamhimu sana kwang asante sanaKama una nia ya kumsaidia fanya calculation hapahapa kwenye uzi wake,
Akiridhika atakutafuta kwa maelezo zaidi..
Mto mada kuwa makini na matapeli kwa huo uandisha wako inaonekana mtupu sana pa kichwa wajanja watakuingiza mkenge..
Bora uende ofisi ya kampuni mkalipane na kuagiza huko usifanye transaction kwa mtu binafsi usiyemfahamu
Kwa hyo mkuu kwa maelezo yako hapo akinunua hyo gari kwa 7m na kulipia kodi ya 9m tra itakuwa jumla ya 15m.Ukitaka kujua kodi ya gari yoyote mtandao wa TRA http://gateway.tra.go.tz/umvvs/ angalia sasa total kodi ya hiyo gari Tshs 9,061,844.95 kwa leo hapa ndipo moja ya maeneo ambayo nayo watoza kodi wetu wangetakiwa kuishauri serikali gari unatoa Japan mpaka hapa 7m lakini kodi yake 9m.
table kwa undani
Reference Number: 18194077765 Make: SUBARU Model: FORESTER - SH Body Type: SUV Year of Manufacture: 2010 Country: JAPAN Fuel Type: PETROL Engine Capacity: 1501 - 2000 CC Customs Value CIF (USD): 4,634.00 Import Duty (USD): 1,158.50 Excise Duty (USD): 289.63 Excise Duty due to Age (USD): 868.88 VAT (USD): 1,307.82 Custom Processing Fee (USD): 27.80 Railway Dev Levy (USD): 69.51 Total Import Taxes (USD): 3,722.14 Total Import Taxes (TSHS): 8,561,844.95 Vehicle Registration Fee (TSHS): 500,000.00 TOTAL TAXES (TSHS): 9,061,844.95
Oky sawa nduguHabari
Mimi Nipo kwenye Industry ya Magari na Ni agent wa Kuagiza magari kutoka japan, Kulingana na Sifa ya gari Itahitaji kujua Ushuru wa gari kwanza ambao unaupata kwa TRA calculator pia na gharama za clearing TPA Hivyo ni vyema
ukawasiiana nami: 0742085793
pia WhatsApp: 0742085793
ntakusaidia Vyema.
Shukrani