Naombeni msamaha kwa kukwaruzana kwenye mijadala

Naombeni msamaha kwa kukwaruzana kwenye mijadala

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Habari zenu champs!!!

Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema aisee naombeni msamaha wakuu najua kwa namna moja ama nyingine tulikwaruzana sana humu kutokana na kupitishana misimamo na ikifikia kutukana kiukweli mtu mzima akikosea huchutama kwa hiyo mie ndugu yenu nimekuja kuwaombeni msamaha

Mwenyezi anasema kabla ya haujaniomba mimi msamaha waombe uliowakosea kwahiyo nimekuja kwenu kuwaombeni msamaha kwani dunia tunapita hapa kwa maana sisi ni marehemu watarajiwa muda wowote tunakufa na ni vibaya kwenda kwa mungu huku ukiwa mufilisi siku ya kiama!!!!

Naombeni msamaha!!!!!!!!🙏🙏🙏🙏🙏! Nimeanzisha thread ambazo zimeleta taaruki,naombeni msamaha
 
Zilikuwaa zinasemajeee hzo thread mkuu 🙆🙆

Na kwann utukananee na watu mkuu..

Wamekusamehee Sasa utulizee ngengaa😂😂
 
Acha kukaa kinyonge wewe unaombaje msamaha anonymous???
 
JF inachekesha hatareee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom