Naombeni mun pm jamani du

sweetlady shosti ushafika huku? kadogoo cjui kama ananyonya sawasawa!

Hehehehe.....kadogoo nimeshinda nae mchana kutwa sahizi ni zamu ya babake na mimi nijinafasi kwa raha zangu!
 
Hehehehe.....kadogoo nimeshinda nae mchana kutwa sahizi ni zamu ya babake na mimi nijinafasi kwa raha zangu!
sweetlady Shemeji yangu kazi anayo, lakini raha kusaidiana! hakuna udictator.
 
sweetlady nimekufowardia umeuona muandiko wake sasa!?? kama kiarabu tu, hata sijaelewa! muarobaini hebu plz niPM tena?
Hahahahaha ......mwandiko gani kama mtoto wa chekechea lol.....una moyo wa ziada cacico na bado unaomba akuPM tena?.....ila kiukweli huyu Muarubaini amenichekesha sana....eti 'naombeni muni pm'......jf kuna watu wana vituko cacico lol
 
Last edited by a moderator:
sweetlady Shemeji yangu kazi anayo, lakini raha kusaidiana! hakuna udictator.
@cacico si wajua mtoto anahitaji malezi ya baba na mama......shemejio wala hana hiyana ila naona unataka kumfanya aanze kibri.....ole wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…