Naombeni muongozo kuhusu hili la API

Naombeni muongozo kuhusu hili la API

Life starts at 45

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
998
Reaction score
987
Habarini wakuu, nipo najifunza mobile development na nilikuwa nimefikia kipengele cha kutumia API, nimetumia API zile za free na nimepata matokeo chanya.

Sasa changamoto yangu ni jinsi ya kupata vitu vya muhimu kama key kwa ajili ya kutumia mfano nilikuwa nahitaji key za hii API lakini nimekwana naombeni mwongozo.

API Docs
 
Kama hiyo API ni free basi kwenye website yao watakuwa wameonyesha namna ya kupata keys.
Kama siyo hivyo basi itabidi ulipie.
 
Habarini wakuu, nipo najifunza mobile development na nilikuwa nimefikia kipengele cha kutumia API, nimetumia API zile za free na nimepata matokeo chanya.

Sasa changamoto yangu ni jinsi ya kupata vitu vya muhimu kama key kwa ajili ya kutumia mfano nilikuwa nahitaji key za hii API lakini nimekwana naombeni mwongozo.

API Docs
Mbona docs ziko clear kwamba hauhitaji api Key ili kupata hizo data. Ukitaka kujifunza kutumia key jaribu api kama the Movie DB api. Tuna mfano kwenye repo zetu japo ni wa zamani kidogo ila bado upo practical.

mtangoo/Kasuku-Muvi
 
Mkuu wacha nikuitie ma nguli wa hiyo kitu hapa nchini (na nchi jirani)

Graph

Stefano Mtangoo

Hao wana uwezo mzuri wa kukuvusha kwenye hili.

Lakini pia Mama Debora hayupo nyuma sana kwenye hii tasnia
Kwenye kuwa nguli nimefika kweli boss?
Nimempa mfano hapo juu. Ni wa kitambo kidogo lakini naamini utamfaa!
 
Back
Top Bottom