Pita jukwaa la Biashara na Uchumi upate maarifaHeri ya krismasi wakuu.
Ni hivii nimepata mtaji tsh laki 2 Nina mpango wa kuanza biashara ya chupi nipo dar sasa bado sijajua naziuzaje na wapi yani inshort sijawahi kufanya hiyo biashara au biashara yoyote
Mwenye uzoefu naombeni mawazo yenu naanzaje kwa mtaji huo
Biashara ya mtaji mdogo inakuhitaji kuachana kabisa na starehe na matumizi mabaya kitu kingine cha msingi tafuta sana elimu ya hicho kitu unachokifanya hasa kwa waliofanikiwa huko utakokuwa unajumua jaribu kuuliza abc changamoto za biashara na jinsi yakuweza kugrow upHeri ya krismasi wakuu.
Ni hivii nimepata mtaji tsh laki 2 Nina mpango wa kuanza biashara ya chupi nipo dar sasa bado sijajua naziuzaje na wapi yani inshort sijawahi kufanya hiyo biashara au biashara yoyote
Mwenye uzoefu naombeni mawazo yenu naanzaje kwa mtaji huo
😄Bilionea Mpaji Mungu toa maelekezo huku
yani mkuu umemaanisha huu mtaji bado haujatosha hiyo biashara[emoji1]
Kwanza nimpongeze wa kutunza mpaka kufikisha 200k, sijajua kazipataje labda aliajiriwa au ni Kwa hz harakati zetu za Leo tiki kesho mkasi lakn binafsi ningemshauri akuze kwanza huo mtaji at least ufike 500k ++ Ndo aangalie next move!
Mtaji ni mdogo, location hasa hasa unapendelea wapi?yani mkuu umemaanisha huu mtaji bado haujatosha hiyo biashara
Mtaji wa laki 2 unatosha kabisa kuanzisha biashara ya chupi, But biashara ya chupi integemea na location, unawez ukauza maeneo ya chuo, coz ndosehem pekee kwa mtazamo Wang unaweza ukauza and also biashara ya chupi ili uwe unauza itabid ununue kitu quality na uangalie watu wanapenda aina gan ya chupi either cotton or less na unapanga Bei vzur Kama unanunua kwa dozen cotton chupi jumla 18000 mpak 20000 rejareja 23000 mpak 25000 so ni wew tu kujipangia utauzaj kwa jumla na rejareja kuwauzia wateja wako kulingan na Bei uliyonunuliaHeri ya krismasi wakuu.