Tommy 911 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 600 Reaction score 510 Jul 27, 2024 #1 Habari za wakati huu........ mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliz bsc chemistry hivyo naombeni mwenye connection na internship anisaidie au kazi yoyote . Asanten
Habari za wakati huu........ mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliz bsc chemistry hivyo naombeni mwenye connection na internship anisaidie au kazi yoyote . Asanten
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Jul 27, 2024 #2 Uko tayari kuwa shamba boy🏌️
Tommy 911 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 600 Reaction score 510 Jul 27, 2024 Thread starter #3 Red black said: Uko tayari kuwa shamba boy🏌️ Click to expand... yah mkuu
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 Jul 27, 2024 #4 Red black said: Uko tayari kuwa shamba boy🏌️ Click to expand... Kajibu hapo ole wako Red black ukimbiee mana hapa nako dogo yupo anataka hiyo shamba boi
Red black said: Uko tayari kuwa shamba boy🏌️ Click to expand... Kajibu hapo ole wako Red black ukimbiee mana hapa nako dogo yupo anataka hiyo shamba boi