Kati ya vitu ninavyomiss toka nyumbani ni timbwili timbwili la Asha Ngedere.
Naombeni mtu mwenye uwezo wa kupata walau clips za Orijino Komedi zenye Asha Ngedere na vagi lake atuwekee hapa.
Kwani clip huwa ni za nini? Si kutizama au kusikiliza?
Kila mtu ana preference zake. Binafsi sipendi vichekesho vya runinga za Tanzania isipokuwa huyu Joti anapoigiza Asha Ngedere huwa ananifurahisha sana.
Kwa kiasi fulani ana wapa nguvu akinamama.
My request still stands. Si wote tuko nyumbani hivyo hatuna access na TBC1