Heshima mbele wakuu,ebana me nimepata gelofriend mpya,na kikweli nimepima oil,nimegundua ni kweli mambo yako safi kabisa,kaniambia me ndo mvulana wa kwanza katka maisha yake,so wakuu,naomben mwongozo wa jinc ya kuish na wamanzi wa aina hii.over
mkuu hapo jiandae kutoka mijasho kunako samwel sita, maana wabishi haoooooooooooo, na ukifanya mchezo utaishia kunawa kama kweli hiyo oil ndo bado kweli ile orijino bado haijabadilishwa!