Naombeni mwongozo member mpya mimi

Naombeni mwongozo member mpya mimi

Allen95

Senior Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
117
Reaction score
137
Habari zenu me naitwa Allen nmejiunga Leo na jamii forum nmatumaini yangu tupo pamoja kwa wale fursa za kuongeza kipato I hope tutakua pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwongozo ni kwamba unapojiunga JF kwa mara ya kwanza unatakiwa kutupia picha zako tatu tofauti tofauti hapa!Sawa?
 
Karibu sana ,ila tafadhali sana,,komenti ya kwanza ktk kila post huwa ninafasi ya JOSEVEREST , sasa ikitokea umekua wakwanza kukoment ,,,anza naneno " Kwaniaba ya Joseverest "".

Hujakosea kujiunga na JF,,sanasana jiandae kusahau FB,,Insta,,Twitter.
 
Kwel asee nmejikuta mda wote nipo humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom