Kwel asee nmejikuta mda wote nipo humuKaribu sana ,ila tafadhali sana,,komenti ya kwanza ktk kila post huwa ninafasi ya JOSEVEREST , sasa ikitokea umekua wakwanza kukoment ,,,anza naneno " Kwaniaba ya Joseverest "".
Hujakosea kujiunga na JF,,sanasana jiandae kusahau FB,,Insta,,Twitter.
Habari zenu me naitwa Allen nmejiunga Leo na jamii forum nmatumaini yangu tupo pamoja kwa wale fursa za kuongeza kipato I hope tutakua pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha yako iko wapi??
Aisee MULTIPLE IDs au sioKaribu mgeni mwenyeji
Kuna Allen wa kike kwel?Karibu sana Mkuu ila hujatuambia kama Wewe ni Mwanamume au Mwanaume.