am aged 26, nafikiria kuoa sasa,kwa wengi hona kama bado mapema kwa umri huu,lakini kwa mie nilishajiwekea nadhiri ya kwamba nikishamaliza masomo na kupata tu ajiri kifuatacho i kuoa pasipo kujali nitakuwa nimetimiza umri gani... Sasa nimefika n am abt to do wat ive planned.. Naomba mwongozo kwa mlionitangulia tafadhali,ni procedure gani za kufuata kumuoa mchaga wa kibosho!!
Ili kupata mwongozo weka kabila lako kwanza kama ulivyofanya la shemeji yetu mtalajiwa....am aged 26, nafikiria kuoa sasa,kwa wengi hona kama bado mapema kwa umri huu,lakini kwa mie nilishajiwekea nadhiri ya kwamba nikishamaliza masomo na kupata tu ajiri kifuatacho i kuoa pasipo kujali nitakuwa nimetimiza umri gani... Sasa nimefika n am abt to do wat ive planned.. Naomba mwongozo kwa mlionitangulia tafadhali,ni procedure gani za kufuata kumuoa mchaga wa kibosho!!
sina uhakika kama kuhitimu masomo na kupata ajira ndio kigezo cha kuoa kwa staili ya udi na uvumba! Suala la ndoa ni suala la kupendana full stop!
kila la kheri mkuu
am aged 26, nafikiria kuoa sasa,kwa wengi hona kama bado mapema kwa umri huu,lakini kwa mie nilishajiwekea nadhiri ya kwamba nikishamaliza masomo na kupata tu ajiri kifuatacho i kuoa pasipo kujali nitakuwa nimetimiza umri gani... Sasa nimefika n am abt to do wat ive planned.. Naomba mwongozo kwa mlionitangulia tafadhali,ni procedure gani za kufuata kumuoa mchaga wa kibosho!!
Ili kupata mwongozo weka kabila lako kwanza kama ulivyofanya la shemeji yetu mtalajiwa....
Kama kweli we muoaji wa ukweli, ungemuuliza huyo msichana wa kibosho......naamini atakuwa ni mchumba tayari......otherwise kama ndio una mpango wa kutongoza katongoze kwanza ukikubaliwa tukupe taratibu za kuchumbia.
Chumbia kwanza ndio uoe!
am aged 26, nafikiria kuoa sasa,kwa wengi hona kama bado mapema kwa umri huu,lakini kwa mie nilishajiwekea nadhiri ya kwamba nikishamaliza masomo na kupata tu ajiri kifuatacho i kuoa pasipo kujali nitakuwa nimetimiza umri gani... Sasa nimefika n am abt to do wat ive planned.. Naomba mwongozo kwa mlionitangulia tafadhali,ni procedure gani za kufuata kumuoa mchaga wa kibosho!!
Mh mwanangu please kuwa makini, siku hizi wanawake wengi bongo ni mzigo!
sina uhakika kama kuhitimu masomo na kupata ajira ndio kigezo cha kuoa