Naombeni namba ya ruge wa clouds

Naombeni namba ya ruge wa clouds

Unataka kutotoa,kutotoleshwa, au kuzalishwa?
 
huwa namuadmire sana mzee wa mafursa ruge wa clouds.naomba mwenye namaba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm
Shost si unajua yuko single[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zamarad ameachia hiyo fursa naona Miss Natafuta unataka kuaichangamkia.

Ila ujiulize mara mbili mfupa uliomshinda fisi utauweza wewe mwana wa Adam?
 
huwa namuadmire sana mzee wa mafursa ruge wa clouds.naomba mwenye namaba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm
mkuu tulia uandike vizuri,hiyo fursa haipo ZAMARADI ile ni bongo muvi,msije tiana vichomi buree,na wewe umejaa kuwa kweli lile cheche zoefu limeolewa?
haitokaa itokee mtu amuoe bibi kama yule na watoto wawili wakati vigori wamejaa mjini...haitokaa itokee!
 
sema wewe huwezi kuoa mwanamke mwenye watoto wote usisemee wenzio.kila mtu na maisha yake
 
Hahahaha wazee wa fursa. Huyu anaachia huyu anafukuzia.
 
Back
Top Bottom