Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kabla msainishane NDA na uende cosota kabisaa.kabla ujampa aidia usije liahuwa namuadmire sana mzee wa mafursa ruge wa clouds.naomba mwenye namaba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili
sawa mkuu.asanteKabla msainishane NDA na uende cosota kabisaa.kabla ujampa aidia usije lia
naomba mawasiliano bnaUnataka kutotoa,kutotoleshwa, au kuzalishwa?
Shost si unajua yuko single[emoji23] [emoji23] [emoji23]huwa namuadmire sana mzee wa mafursa ruge wa clouds.naomba mwenye namaba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm
yap hyo nayo ni fursa mojawapo tutakayojadiliShost si unajua yuko single[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu tulia uandike vizuri,hiyo fursa haipo ZAMARADI ile ni bongo muvi,msije tiana vichomi buree,na wewe umejaa kuwa kweli lile cheche zoefu limeolewa?huwa namuadmire sana mzee wa mafursa ruge wa clouds.naomba mwenye namaba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm
[emoji28] [emoji28] [emoji28] miss youyap hyo nayo ni fursa mojawapo tutakayojadili
mbona mnaongea sana jamaniZamarad ameachia hiyo fursa naona Miss Natafuta unataka kuaichangamkia.
Ila ujiulize mara mbili mfupa uliomshinda fisi utauweza wewe mwana wa Adam?
mfupa uliomshinda fisi unasagwa na sisimizi hadi unakuwa udongoZamarad ameachia hiyo fursa naona Miss Natafuta unataka kuaichangamkia.
Ila ujiulize mara mbili mfupa uliomshinda fisi utauweza wewe mwana wa Adam?
sema wewe huwezi kuoa mwanamke mwenye watoto wote usisemee wenzio.kila mtu na maisha yakemkuu tulia uandike vizuri,hiyo fursa haipo ZAMARADI ile ni bongo muvi,msije tiana vichomi buree,na wewe umejaa kuwa kweli lile cheche zoefu limeolewa?
haitokaa itokee mtu amuoe bibi kama yule na watoto wawili wakati vigori wamejaa mjini...haitokaa itokee!
ni kweli.mimi nina fursa siku nikilipwa nitakugaia salioBiashara matangazo
miss u too![emoji28] [emoji28] [emoji28] miss you
wewe unafaana na mimi sema najaribu kuongea kikubwa muda mrefu ila haunielewi daah!sema wewe huwezi kuoa mwanamke mwenye watoto wote usisemee wenzio.kila mtu na maisha yake