Naombeni namba ya ruge wa clouds

Swala akijipeleka mwenyewe tena kwa ' kuwashwawashwa ' Kwake tu katika mawindo ya Simba mwenye njaa muda wote unategemea nini?
siku nikipata huo mchongo nitakuja kukupa ushuhuda mkuu. sidhani kama ruge ni kit..mbi kiivo.
 
Baada ya kusikia zama kaolewa unataka kujiweka kwake ilale sio mbaya mana for now boss akataka kuruka na vibonge Kama wewe
 
huwa namuadmire sana mzee wa mafursa hapa nchini ruge wa clouds.naomba mwenye namba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm
0716972626 namba zake izo
 
ahaaa nasikia anaongea mwanzo mwisho kwenye gemu ila mimi simtaki kwa mambo hayo mi huko nishastaafu hata papuchi yangu ilishafunga
Nigee basi namba na mie nkaongeleshwe
Naskia ana vitu unique huyu mzee wa fursa
 
Bashite anasukosoma tu unavoomba namba ya ruge atakuongeza kwenye list of her enemies oh sorry! I mean his enemies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…