Naombeni namba ya ruge wa clouds

0757 626 207 namba ya Godfrey kusolwa mtu wa karibu sana na Luge, nadhani ukimpigia uyo utapata hata namba ya kusaga.
 
huwa namuadmire sana mzee wa mafursa hapa nchini ruge wa clouds.naomba mwenye namba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm
Nipo nae hapa tunaangalia 360 sijui nkupe uongee nae
 
Daah, kwanini tunapenda kufatilia personal life sana. Kwani humu ndani kuna aliyemuoa girlfriend wake wakwanza? Penzi kiti cha basi, ukishuka wanakaa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…