Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Wakuu baada ya life kuninyoosha nimekumbuka nina 600k NSSF,2019/2020 nilifanya kazi kampuni moja kama security officer baada ya Covid sikuongezewa mkataba.
Kwasasa sina mawasiliano na mwajiri na ni ngumu mimi kupata sahihi ya mwajiri wangu wa zamani na kama nitapata nitapata kwa gharama kubwa.It’s not worth
Najua JF humu wataalam hamshindwi kitu,nisaidieni naipateje hii pesa ndani ya mda mfupi bila kutimiza hicho kipengele