GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,092
- 2,210
Habar ya asubuhi wanasheria wa jukwaa hili. Nipo hapa kuomba orodha ya phrases mbali mbali zinazotumika katika sheria. Itakuwa ni vema ukiweka katika lugha ya english na tafsiri yake katika lugha ya kiswahili. Natanguliza shukrani
sent using [emoji85]
sent using [emoji85]