Naombeni radhi mnisamehe

Naombeni radhi mnisamehe

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Wakuu marabaada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari mwaka 2012 nilijiunga jamii forum nakuwa mnazi ma jukwaa hili, nilijiingiza katika ujasiliamali kwa kusaidia watu mbali kupata mifugo bila mimi kuwatoza gharama yeyote although kama ni wakwangu, nimepigana na swala hili lakini muda unanibana sana kwa kweli. Niko chuo nashindwa kuhimili shughuri hizi, kwa wale ambao haikuwa mara yao ya kwanza kama ndaha naomba muendelee kuniamini mungu akipenda mwezi wa sita wembe ni uleule, ambao ilikuma mara ya kwanza naomba mniamini natamani kuwa support tatizo nimekuwa bussy na masuala ya chuo. Sikupenda kusitisha shughuri za ujasiliamali, mazingira yananikandamiza muda hauwi rafiki kwangu. Niwatakieni mafanikio na muwe na umoja na msaidiane inapo bidi. Ahsante
 
"... ilikuma mara ya kwanza..." ndio nini Mkuu? Vinginevyo pole na hongera kwa kuwa na shughuli nyingi!
 
Ahsanteni Kikubwa Nitarudi Kwa Kasi Zaidi Wakubwa!
 
Ahsanteni Kikubwa Nitarudi Kwa Kasi Zaidi Wakubwa!

Tunashukuru kwa kutupa angalizo na tahadhari make pengine tamaa zingekuzidi na hatimae kupandwa maruhani ya kina Kitomari2 na wenzie wenye tabia hizo!
Angalizo; kama malengo yako ya baadae ni kuja kuwa mjasiriamali ktk nyanja za kilimo natumai utakuwa hujafanya makosa kwenye chaguzi zako kuhusu nini chakusoma chuoni ili kiwe supporting material ktk mihangaiko yako i.e agrobusiness,entrpreneural skills, project planning&evaluations, international trade & supply chains ndio vitu vya kusoma hivyo wadogo zangu havtakufanya ubweteke kusubiri ajira.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom